7.2
Jukumu letu kama wachungaji hutupatia ushawishi wa kipekee katika kuelekeza kipaumbele cha kusanyiko kuelekea umisheni. Hii inatuhitaji kuwa na ari na mkakati wazi wa kutangaza umisheni wa ndani na nje ya nchi. Kusanyiko linapomwona mchungaji amekamatwa na mawazo haya, litafurika katika ushiriki wao katika kuwa kanisa linalofadhili umisheni na kutuma wamishenari.
Read the articles from this issue:
Mchungaji ni Ufunguo
Miaka michache iliyopita, kanisa moja lilinialika kuzungumza juu ya umisheni kwa siku mbili nyakati za usiku. Nilifurahi, lakini nilikuwa na hisia mchanganyiko. Ni watu wangapi wangejitokeza kwenye kongamano la umisheni siku ya Jumatano usiku? Kwa...
Ray Mensa Mensah
Nenda kwa kasi zaidi ya upepo kama ilivyosimuliwa
Hebu fikiria kundi la vijana motomoto katika safari ya umisheni kwenda kwenye kundi la watu ambao ha wajafikiwa kusini mwa Angola. Wana kaa kwa mwezi mmoja, wakihubiri, wakivunja vifungo, na kuwapatanisha wanakijiji na Muumba wao. Hatimaye, ni wak...
Mercy Kambura
Mchungaji: Wakili wa Umisheni
Kusudi la Mungu la ukombozi lililotimizwa katika Kristo Yesu na kuenezwa na mitume linabaki kuwa kazi ya Kanisa hadi Kristo atakaporudi. Wakati kanisa linapoelewa hili, kila kitu kinabadilika. Hapa ndipo penye jukumu la wachungaji kuhakikisha kwam...
Pastor Azaki Nash
Moyo wa Mchungaji, Itikio la Kanisa
Baba yake alikuwa wa imani ya Kibaha’i na alifanya uuguzi. Alidai kuponya watu na kumtayarisha mtoto wake kufuata nyayo zake. Kwa bahati mbaya, hakuweza kujiokoa kutokana na ugonjwa uliomwua.
“Baada ya baba yangu kufa, niliona uwezo wa ...
Kumwezesha mshirika wako kuingia katika umisheni
Nairobi Chapel ni kanisa kubwa lenye nia ya umisheni nchini Kenya. Wametuma wamishenari 31 na timu 33 za muda mfupi na wana matokeo katika nchi 16. Faith Mugera, mchungaji wa umisheni, anashirikisha mawazo sita ambayo wameanzisha ili kuratibu prog...
Mchungaji Faith Mugera
Kuelekea makanisa yenye nia ya umisheni zaidi
Agizo moja ambalo kanisa linapaswa kukumbuka ni Mt. 28:19: “Kwa hiyo enendeni mkafanye wanafunzi kutoka katika mataifa yote, mkiwabatiza katika jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.”
Kanisa linaloenda haliko kwenye jengo lake t...
Ndivhuho Ranwedzi
Mchungaji wetu alifanya wito wetu wa kimishenari uwezekane
Maombi yamekuwa hitaji muhimu sana. Mke wangu na mimi hutumika mbali na nchi yetu, na mchungaji wetu huko nyumbani huhamasisha kusanyiko lote kutuombea. Angewaambia kwenye ibada ya Jumapili waangalie upande wa eneo letu la umisheni na kuomba, kish...
Patrick Nabwera
Wajibu wa mchungaji kuamsha moyo wa umisheni katika kanisa la Tanzania
Mimi nilizaliwa na kumwamini Yesu kwenye moja ya makanisa ya Kiinjili Tanzania (evangelicals). Chakushangaza ni kwamba nilijua kuwa umisheni ni kazi ya mzungu (white man’s work)! Nilipojiunga na chuo cha theologia, Scott Christian University, mw...
Mwinj. Joel Nkanda Simbitti
Mbuzi na vitunguu saumu kwa ajili ya injili
Purple Horizon ndio jina la shamba letu. ‘Zambarau’ hurejelea mti maalum unaogeuka zambarau kila Oktoba na umuhimu wake kama mahali pa sala. Pia inawakilisha ukuu wa Bwana Yesu. ‘Horizon’ inarejelea uwezekano usio na kikomo kwa Waafrika wa...
Kama ilivyosimuliwa kwa Kate Azumah
Kundi la watu: Wabaka
Watu wa kabila la Wabaka wa kusini-mashariki mwa KamerunI ndio kundi kubwa zaidi kati la Mbilikimo kadhaa waliotawanyika kote Afrika ya Kati. Mbilikimo wana kimo kidogo, likiwa na wanaume watu wazima wasiozidi sentimita 155.
Wabaka wanaabud...