8.2
Kama Waafrika, lazima tutafute uwiano kati ya kumfuata Yesu, kutumika kwenye umisheni, na kuheshimu familia. Ingawa tumeitwa kuyatoa maisha yetu ili kumfuata Yesu, tunapaswa kuendelea kujitoa kwa ajili ya familia zetu na kuzihudumia. Wakati uaminifu wetu kwa Yesu unapaswa kubaki bila mashaka, kuudhihirisha kwetu huo uaminifu hakupaswi kuchoma madaraja yanayotuunganisha na mitandao ya familia zetu.
Tafutu Uwiano
Familia ni ya muhimu sana kwa Waafrika. Ukiondoa familia, sisi tunajiona sio watu. Familia zetu zenye wazazi na watoto na zile za wazazi, watoto na ndugu wengine zimeunganishwa, na hali hii mara nyingi huamua maamuzi mengi tunayofanya. Je, hili li...
Chinedu Oranye
Nimeitwa: Ralambo Tiffanie Siko Mpweke Tena
Nilitiliwa shaka nilipowasili kwa mara ya kwanza kama mmishenari hapo Kisiwani. Sikujua kwamba baadhi ya wanawake wa Kimalagasi ambao waliofika kabla yangu. Ilikuwa vigumu kuishi nikiwa msichana mmishenari wa Kimalagasi ambaye hajaolewa. Nilipata ...
Kama ilivyosimuliwa kwa Mercy Kambura
Wito wa Kimishenari na Familia Kutumia Falsafa ya ‘Ubuntu’
Je, ni lazima mmishenari aitelekeze familia yake ili aitikie kiukweli wito wa Mungu wa kuwafikia waliopotea? Katika Bara lote la Afrika, kizazi kipya cha wamishenari wa Kiafrika kinaenda kwenye maeneo ya umisheni, na familia zao hazielewi kabisa s...
Timo AfriTWENDE
Mambo yawa Mazuri kwa Reagan
Regani alikuwa hajawahi kutoka nje ya mji wa Kumasi. Siku ambayo Reagan alipanda basi kutoka Kumasi kuelekea eneo la umisheni mbali na nyumbani kwao ilikuwa siku ya kipekee. Alipofika Tamale, aligundua kwamba basi la kwenda Gbintre lilisafiri mara...
Kate Azumah
Wito wa Umishenari na Wasiwasi wa Familia
Umeitwa kutumika kama mmishenari, lakini wasiwasi wa kifamilia kukuvuta unatishia kwenda njia nyingine. Je, unatokaje kwenye hiyo njiapanda? Tumekusanya ushauri kutoka kwa viongozi wa umisheni ili kushughulikia baadhi ya masuala ya kawaida ya fami...
MASWALI MAGUMU NA MAJIBU YENYE KINA
Matamanio ya Dhati kwa Mama
Miaka mingi iliyopita, Elkana Chubugu kutoka Ntaza, alimkiri Bwana kupitia Wamisheni na akakua katika Imani. Aliendelea kukua katika safari yake ya kutembea na Bwana Yesu Kristo akiwa Mwinjilisti na kiongozi wa Kanisa mlei katika Kijiji chake na v...
Bishop Mussa M. Magwesela
Akina Mama wa Msaada Kusimama kwenye Pengo kwa Ajili ya Watoto wa Wamishenari
Mnamo Februari 1996, bweni la watoto la EMS lilifunguliwa huko Jos, Nigeria, ili kuwapatia makazi watoto wa wamishenari wa EMS ambao walikuwa wakihudumu katika maeneo ya umisheni. Wazo hilo lilichochewa na kugundua kwamba asilimia 25 ya wamishenar...
Furaha Kengela
Makundi la Watu: Wabeja wa Eritrea, Sudan, na Misri
Kabila la Wabeja ni kundi la watu wanaohamahama ambao wamekuwa wakiishi katika nchi za Sudan, Eritrea, na Misri kwa zaidi ya miaka 4,000. Katika historia yao, waliukubali Uislamu na asilimia 99 ni Waislamu. Wanatekeleza Uislamu wa mchanganyiko na ...