1.3
Watu wengi bado wanaishi na kufa bila kuisikia habari njema za Mungu. Zipo jamii nyingi leo, majiji na miji ambayo bado haimjui Kristo kabisa, au sehemu ambazo Yesu aliwahi kujulikana hapo kabla lakini kwa sasa hajulikani tena. Mungu aliyeliita na kuliagiza kanisa laAntiokia bado anaita na kutuma leo: “Nitengeeni!” Je, wachungaji wanamsikia? Kama wewe ni Mchungaji, uko tayari kufanya nini kuhusiana na wito huu?
Kutafakari Tena Somo La Antiokia Je, Wachungaji Wanasikiliza?
Sura ya 13 ya kitabu cha Matendo ya Mitume inaelezea kanisa ambalo lilikuwa katika sehemu ya Shamu (kwa sasa ni nchi ya Syria) ambalo lilikuwa ni la kwanza kutuma rasmi wamishenari kwenda nchi nyingine, kwenye utamaduni mwingine katika kipind...
Wachungaji Ni Ufunguo Wa Maono Ya Kanisa juu Ya Umisheni
Mungu amewachagua wachungaji ili kulielekeza na kuliongoza kanisa lake. Ni maono na kielelezo cha Mchungaji ambacho kitalielekeza kanisa na ushiriki wake katika umisheni. Kama unaongoza kanisa unaweza kulisaidia kusanyiko kuf...
Jinsi Kanisa Letu Dogo Lilivyokuza Moyo Mkuu Wa Umisheni
Kama wachungaji, kwa kiasi kikubwa, tunaweza kusaidia kuonyesha mwelekeo wa makanisa yetu. Sehemu kubwa ya jukumu letu ni kutumia ushawishi wa kiroho kwenye maisha na mwelekeo wa watu walioko chini ya uangalizi wetu. Na ndiyo maana tunaitwa v...
Mch.Moses Paye
Wajibu Wa Mchungaji Katika Kuanzisha Kanisa lenye Mtazamo Wa Umisheni
Kufanya kazi miongoni mwa watu ambao bado hawajafikiwa ni muhimu sana katika kukuza hamasa kwa ajili ya umisheni ndani ya mioyo ya wachungaji na viongozi wa kanisa. Mtu mmoja aliwahi kusema kwamba, hatutakuwa na mzigo kwa ajili ya watu waliop...
Philip Kofi Tutu
Mashua iliyo Mbali
‘Mashua iliyo mbali’ ni filamu ambayo inalialika kanisa la Kiafrika katika kushikilia fursa ya kipekee ya kuwafikia Waafrika ambao bado hawajafikiwa na Injili; kwa kutoa changamoto kwa kanisa ya kuwa na nguvu kuu kwa ajili ya umisheni huko mb...
Mpango Wa Umisheni Wa Malawi Unakuza Uinjilisti Wa Kuvuka Mpaka
Makongamano ya kikanda ya wachungaji wenye wito wa kimisheni yaliandaliwa na SIM kwa ushirikiano na Chama cha Kiinjili cha Malawi. Makongamano hayo huchochea hamasa miongoni mwa makanisa ya Malawi kuvuka mpaka kwa ajili ya kuwafikia wengine. Mato...
Kozi ya Kairos
Kozi imeandaliwa ili kuelimisha na kutoa changamoto kwa wakristo na kulitia moyo kanisa kuitikia moyo wa Mungu kwa ajili ya umisheni kwa mataifa. Kairos inaelekeza na kuongoza huduma yenye mwamko na yenye maana katika kuvuka mipaka ya tamaduni na...
Makundi Ya Watu:Wadatooga
Wadatooga ni jina la ujumla kwa makundi ya Jamii moja ya wafugaji wnaohama yenye asili ya Nilotiki, ambao ni Wabarabaig, Wataturu, Rotigenga, Gidang’udiga, Simijiega, Burediga na Dalorajieaga. Watu hawa wanaishi zaidi sehemu ya kaskazini ya...