7.1
Kwa nini kanisa liwajali Waislamu? Swali hili lina majibu mawili. Kwanza, kusudi la msingi kwa kanisa ni kumfanya Kristo kujulikana kwa wale ambao bado hawajasikia Injili (Matendo 1: 8). Kwa hiyo, kanisa lipo kwa ajili ya wasioamini. Kama kanisa haliwafikii wale walioko nje ya kuta zake basi hapo tunamwangusha Bwana Yesu. Pili, Waislamu ni sehemu kubwa ya watu ambao hawajafikiwa kabisa. Ili kanisa la Afrika lionekane kweli linashughulika na umisheni, ni lazima liwafikie Waislamu. Kuwafikia Waislamu kunahitaji mafunzo ya msingi katika kuujua Uislamu, kujua kuitetea imani ya kiKristo na kuwa na njia za matendo.
Kwa nini: tuwafikie Waislamu?
Hivi majuzi niliombwa kufundisha kozi juu ya ‘Ukristo na Dini zingine za Ulimwengu’ katika Taasisi moja ya kitheolojia. Nilipokuwa naandaa somo la kufundisha, nilibahatika kusoma makala iliyoandikwa na kiongozi wa huduma ambaye anawafikia Wai...
Ray Mensah
Tumeitwa tumeagizwa kuhubiri injili katika nchi za Afrika ya kaskazini
Kufanya kazi katika Afrika Kaskazini inaweza kuwa ni hatari, na Daudi anajua hili vizuri. Polisi humfuata Daudi anakoenda; wakiwa na wasiwasi na uwepo wa Wakristo. Baadhi ya majirani zake humkejeli na hata wamekuwa wakimtishia kifo.
...
AfriGO team
Ninawi yamsubiri kila Mkristo
Umeshawahi kufikiria kwa nini Yona alipata misukosuko yote ya kwenda kuwaonya wakazi wa Ninawi juu ya hukumu, katika mji ambao ulikuwa na wakazi 120,000 tu? Leo inakadiriwa kuwa kuna Waislamu wapata o bilioni 1.8 ulimwenguni kote, ambapo kati...
Jared Oginga
Neno ambalo halitarudi bure
Akiwa na umri wa miaka 12, mvulana wa kisomali, alikuwa tayari alishajifunza Kurani yote. Aliweka kwenye kumbukumbu sehemu za Kurani kwa Kiarabu, lugha ambayo hata alikuwa hajui maana yake. Alipofikia umri wa miaka 18, alikwenda kuishi na mjomba ...
Unaweza kuwafikia Waislamu: rasilimali za kukusaidia
Je unataka kuwafikia Waislamu wanaokuzunguka, lakini unaanzaje? Timu ya AfriTWENDE imetayarisha vitabu, kozi, na video vya kukusaidia.
Kuwashuhudia Waislamu kwa hekima
1. Hofu na Ujinga: Tafuta kuujua Uislamu kama mfumo, na Waislamu kama watu waliopendwa na Mungu, lakini wamenaswa kwenye mtego wa mfumo wa dini. Ujinga na hofu kutoka kwa Wakristo ndivyo vinavyozuia kazi ya kuwashuhudia Waislamu. Mwislamu atafaha...
Jared Oginga
Biblia ya kiarabu cha Kichadi yachapishwa
Biblia yote ya Kiarabu cha Kichadi imetafsiriwa na kuchapishwa kwa mara ya kwanza. Kupatikana kwa tafsiri hii ya Biblia kulisherehekewa hapo mwezi Aprili 2021 pamoja na matukio mawili ya kuwekwa wakfu katika mji mkuu wa Chad, N’djamena. Zai...
Harbari na mafunzo
Kila mwezi Chuo cha umisheni cha Afrika Mashariki hutoa mafunzo ya umishenari kwa viongozi mbalimbali wa makanisa wakiwa ni wachungaji na wazee wa makanisa. Viongozi hawa wa makanisa hufikiwa kupitia kiongozi mkuu wa makanisa ya sehemu maalum...
Tayari kwa ujenzi wa taifa
Afisa mmoja kutoka Sekritarieti ya Jeshi la Kujenga Taifa alishindwa kubadilisha msimamo wa kuruta wawili. Kwa nini mtu ang’ang’anie kuwapeleka watumishi kwenye maeneo ya mbali vijijini wakati kuna nafasi bado kwenye maeneo ya mijini yeny...
Kate Azumah & Furaha Kengela
Makundi ya watu Wamatumbi
Wamatumbi wapo takribani 250,000 na wanajulikana kama watu wa milimani. Milima hii hua ni ngumu kufikika, haswa msimu wa mvua na wengi wao huishi kwenye misitu. Haswa ni wakulima wa kujikimu, huvuna mpunga na kufuga kuku. Baadhi ya Wamatumbi ...