2.1
Watu wengi huona vipawa vyao na ujuzi wao kama tu njia ya maisha ya kawaida ya kujipatia mkate wa kila siku. Kutumia ujuzi wetu kujipatia maisha mazuri, kwa ajili ya familia zetu na kuishi maisha bora ni lengo la kawaida. Hakuna kitu kibaya na kusudi hili. Swali ni kama tumetengenezwa tu kwa ajili ya kufurahia maisha yetu au kwa ajili ya kusudi kubwa zaidi. Je, maarifa na ujuzi wetu ni kwa ajili ya kujipatia kipato au ni kwa ajili ya ibada?
Ujuzi na Stadi Kwa Ajili ya Ibada
Bwana akanena na Musa, na kumwambia, Angalia, nimemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila ya Yuda; tena, tazama, nimemchagua, awe pamoja naye, huyo Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila ya Dani; nami nimetia heki...
Ujuzi na Stadi: Zana Mikono ya Mungu
Dk. Bode Olanrewaju ni daktari wa mifugo na mmishenari anayefanya kazi na shirika la CAPRO. Anatumia taaluma yake kuwafikia wale walio katika vizuizi wasifikiwe na injili katika sehemu za kaskazini mwa Ni...
Kumtumikia Mungu Kupitia Taaluma Yako itakuwaje Mungu akikuita kuwa msanifu majengo?
Kwa sababu mahali pa kazi ndipo tunapotumia muda wetu mwingi katika juma, ni fursa nzuri kwa kufanya huduma.
Katika miaka yangu ya kufanya kazi pamoja na wanafunzi, baadhi yao hutaka ushauri wangu wanapokuwa wanaomba na kufunga ili kua...
Femi B.Adeleye
Mafunzo ya Umisheni
East Africa School of Mission (EASM) ni chuo kilicho chini ya bodi ya wachungaji ya mafunzo ya utume. Inayotoa mafunzo ya umisheni kuanzia ngazi ya cheti, diploma na shahada. Chuo hiki kilianza 2015 kama shule ya utume ya kwanza nchini Tanzania, ...
Makundi ya Watu: Watoposa
Watoposa ni jamii ya wakulima na wafugaji wanaoishi Sudani ya Kusini, wanaokadiriwa kufikia idadi ya watu 500,000. Watu hawa wanategemea ng’ombe, kondoo, na mbuzi. Wavulana huchunga mbuzi na kondoo na huacha kuchunga ng’ombe wakifikia umr...