Skip to content

Shuhuda za wamisionari

Karibu! Soma shuhuda halisi za wamisionari waliopo kazini juu ya mahangaiko yao, Imani zao, ushindi wao. Furahia

Unaweza soma kwenye jarida letu la AfriTwende pamoja na makala, kupata hamasa na habari nyingi zaidi hapa. Bonyeza hapa kupata nyenzo kuwafikia majirani zako wa kiislamu.

Je unatiwa moyo Kwenda na kutumika? Wasiliana na moja ya mashirika hapo chini kwa taarifa zaidi kwenye hatua zifuatazo au tembelea ukurasa wetu wa Future Missionaries page kwa taarifa zaidi.

Tafadhali wasiliana nasi ikiwa  una habari ya kushirikisha.

“Sikujua niende wapi” - nyakati za wamishenari

"Nilijaribu karibu kila dini" - nyakati za wamishenari

“Nadhani nitakuja kuwa Mkristo” - nyakati za wamishenari

“Fanya uamuzi wa hatua inayofuata” - nyakati za wamishenari

“Kesi nyingi za Ebola na vifo” - nyakati za wamishenari

"Kuwapa watoto sumu" - nyakati za wamishenari

"Ndoto yangu niliyosubiri kwa muda mrefu" - nyakati za wamishenari

“Hatukuwa na pesa” - nyakati za wamishenari

“Waliacha kututazama kama maadui” - nyakati za wamishenari

“Mtaalamu anaweza kutiwa mafuta.” - nyakati za wamishenari

Courageous Tanzanian Advocates for missionaries

Je, unataka kuwa misionari? Tafadhali tuma baruapepe kwenda: afritwende@afrigo.org