4.4
Kutoka upande wa kusini wa dunia hadi upande wa kaskazini, kutoka kwenye miji kwenda vijijini, vijana kwa wazee wanaume kwa wanawake, wanatheolojia kwa walei, wahandisi kwa wajasiriamaliwahamasishaji wanapiga tarumbeta wakiita watu wote wa Mungu kujihusisha kikamilifu na Agizo Kuu. Wahamasishaji wa muda wote, wakiwa wamejitoa kwa kazi ya uhamasishaji kwa muda wao wote katika nguvu za Roho Mtakatifu, watakuwa wenye kuleta mabadilikoa kwa kazi ya umisheni duniani katika wakati wetu.
Kwa wakati kama huu
Sote tunahusika kwa namna fulani katika ‘sanaa’ ya uhamasishaji, kutia moyo na kushawishi wengine katika mwelekeo fulani. Kutokana na mtazamo huu, kila mtu ni mhamasishaji, lakini ikiwa ni Agizo Kuu, basi huwa ni muhimu sana.
Hata hivyo...
Sam Ngugi
Wana na Mabinti Wa Afrika: inukeni na mumwombe bwana wa mavuno
Kwa maana tokea maawio ya jua hata machweo yake jina langu ni kuu katika Mataifa; na katika kila mahali unatolewa uvumba na dhabihu safi kwa jina langu; maana jina langu ni kuu katika Mataifa. (Mal 1:11)
Leo shamba la umisheni lime...
Jacob Igba
Kupitia Safari Fupi Za Kimisheni
Tafakari kundi la vijana likisafiri pamoja kwenye mwambao wa pwani ya kaskazini ya Msumbiji. Wanatoka nchi ya Lesotho, Botswana, na Kenya. Je, hawa ni watalii? Au wanafunzi wa Chuo Kikuu kwa kazi maalum? Hapana. Hawa ni vijana wamishonari wak...
Mhamasishaji Mzoefu Ashirikisha Ufahamu Wake
Kehinde Ojo alikuwa miongoni mwa wanafunzi bora wa chuo kikuu alichosoma, akisomea uhandisi wa umeme na elekroniki. Pia alichaguliwa kuwa sehemu ya menejimenti, akijifunza kazi za uongozi katika moja ya makampuni makubwa ya mafuta yaliyokuwa ...
Mercy Kambura
Ungependa kujiunga na umisheni – lakini nini kinafuata?
Timu ya AfriTwende imeweka pamoja orodha ya rasilimali ambazo zitasaidia kufahamu nini maana ya umisheni, jinsi ya kujihusisha, na namna ya kuleta watu pamoja nawe katika mpango mkuu wa Mungu wa baraka kwa ulimwengu! Kila kozi inafundisha mpango w...
Wameitwa: Tony Na Julia Mburu
Mungu anapokuonyesha anachofanya, ni mwaliko wa moja kwa moja kwamba anataka uungane naye. Maneno haya kutoka kwenye darasa la kujifunza Biblia yalikuwa ni ufunuo mkuu kwangu. Hata hivyo uamuzi wangu kufanya kazi kama mhamasishaji na mmishona...
Makundi ya Watu: Wazigua
Wazigua ni jamii ya watu wenye asili ya kibantu wanaoishi katika ukanda wa pwani ya kaskazini-masharikki mwa Tanzania. Lugha yao ni Kizigua, na pia wengi wao wanazungumza Kiswahili viziuri.
Baada ya kukimbia biashara ya utumwa huko mas...