Wajibu Wa Mchungaji Katika Kuanzisha Kanisa lenye Mtazamo Wa Umisheni
Kufanya kazi miongoni mwa watu ambao bado hawajafikiwa ni muhimu sana katika kukuza hamasa kwa ajili ya umisheni ndani ya mioyo ya wachungaji na viongozi wa kanisa. Mtu mmoja aliwahi kusema kwamba, hatutakuwa na mzigo kwa ajili ya wa...
Read MoreJinsi Kanisa Letu Dogo Lilivyokuza Moyo Mkuu Wa Umisheni
Kama wachungaji, kwa kiasi kikubwa, tunaweza kusaidia kuonyesha mwelekeo wa makanisa yetu. Sehemu kubwa ya jukumu letu ni kutumia ushawishi wa kiroho kwenye maisha na mwelekeo wa watu walioko chini ya uangalizi wetu. Na ndiyo maana t...
Read MoreWachungaji Ni Ufunguo Wa Maono Ya Kanisa juu Ya Umisheni
Mungu amewachagua wachungaji ili kulielekeza na kuliongoza kanisa lake. Ni maono na kielelezo cha Mchungaji ambacho kitalielekeza kanisa na ushiriki wake katika umisheni. Kama unaongoza kanisa unaweza kulisaidia kusa...
Read MoreKutafakari Tena Somo La Antiokia Je, Wachungaji Wanasikiliza?
Sura ya 13 ya kitabu cha Matendo ya Mitume inaelezea kanisa ambalo lilikuwa katika sehemu ya Shamu (kwa sasa ni nchi ya Syria) ambalo lilikuwa ni la kwanza kutuma rasmi wamishenari kwenda nchi nyingine, kwenye utamaduni mwingine kati...
Read MoreMakundi ya Watu: Gujarati
Wagujarati ni kundi la watu ambalo limetawanyika sana takriban katika mataifa 129 na wanajumuisha asilimia 33 ya Wahindi wote walioko ughaibuni kote duniani. Asili ya Wagujarati ni katika jimbo la Gujarat Magharibi mwa India, na lugh...
Read More‘Njoo Huku Utusaidie’
Ni nani bora zaidi kuwafikia Waislamu wa Afrika isipokuwa Wakristo wa maeneo mengine ya Afrika? Hayo ndiyo yaliyokuwa mawazo ya mwaka wa 2011 wakati wa Mkutano wa Vuguvugu la Mkakati wa Mataifa ya Afrika (MANI), ambalo lilizalisha kw...
Read MoreMungu Hakutengeneza Meza; Aliumba Miti
Kuna uhusiano gani kati ya hadithi ya Msamaria Mwema na Biashara ya Kimisheni? Au biashara yo yote kwa ujumla? Johnson Asare, mwanzilishi na Mkurugenzi wa kitaifa wa huduma za Markaz Al Biashara huko Tamale, Ghana, anatoa funzo la ku...
Read MoreWajibu Wa Biashara Katika Umisheni
Kuna hadithi moja inayohusu kundi la watu walioishi karibu na pwani. Baada ya miaka kadhaa wakishuhudia ajali za kuzama kwa meli baharini na matokeo yake ni kupotea kwa maisha ya watu na mali, waliamua kufanya jambo fulani kuhusu hal...
Read MoreUngependa kujiunga na umisheni – lakini nini kinafuata?
Timu ya AfriTwende imeweka pamoja orodha ya rasilimali ambazo zitasaidia kufahamu nini maana ya umisheni, jinsi ya kujihusisha, na namna ya kuleta watu pamoja nawe katika mpango mkuu wa Mungu wa baraka kwa ulimwengu! Kila kozi inafundisha mpango w...
Read MoreMhamasishaji Mzoefu Ashirikisha Ufahamu Wake
Kehinde Ojo alikuwa miongoni mwa wanafunzi bora wa chuo kikuu alichosoma, akisomea uhandisi wa umeme na elekroniki. Pia alichaguliwa kuwa sehemu ya menejimenti, akijifunza kazi za uongozi katika moja ya makampuni makubwa ya mafuta ya...
Read More