Skip to content

Safari yangu kama mama wa WWW

Mimi na mume wangu tuna wasichana wawili, Blessing na Joy. Wakati tulipokuwa tukijiandaa kuitikia wito wa Mungu wa umisheni wenye mchanganyiko wa tamaduni nchini Thailand, shirika letu lilituarifu kwamba eneo tulilopewa lilikuwa na mwalimu wa shul...

Read More

Kumbatia watoto wa wamishenari wa Afrika mashariki

Jinsi gani tunaweza kuwakumbatia na kuwalea vyema watoto wa wamishenari wetu katika  umisheni?  Ni kweli wako katika umisheni, lakini wapo si kwa sababu yao, bali kwasababu ya wazazi wao. Imekuwa ni kawaida kwetu kutoa maelekezo kwao na  kutara...

Read More

Tafakari za Mtoto wa Mmishenari

 

Watoto wa wamishenari hukua katika maisha yenye imani, kujitoa, na kusudi maalum. Utoto wao huwa tofauti kwa sababu hukulia katika maeneo ambako wazazi wao wanahudumu wakihubiri Injili, kupanda makanisa, kutafsiri Biblia, na kuishi k...

Read More

Tayari kwa ujenzi wa taifa

 

Afisa mmoja kutoka Sekritarieti ya Jeshi la Kujenga Taifa alishindwa kubadilisha msimamo wa kuruta wawili. Kwa nini mtu ang’ang’anie kuwapeleka watumishi kwenye maeneo ya mbali vijijini wakati kuna nafasi bado kwenye maeneo ya mi...

Read More

Kuwashuhudia Waislamu kwa hekima

1. Hofu na Ujinga: Tafuta kuujua Uislamu kama mfumo, na Waislamu kama watu waliopendwa na Mungu, lakini wamenaswa kwenye mtego wa mfumo wa dini. Ujinga na hofu kutoka kwa Wakristo ndivyo vinavyozuia kazi ya kuwashuhudia Waislamu. Mwislamu atafaham...

Read More

Neno ambalo halitarudi bure

Akiwa na umri wa miaka 12, mvulana wa kisomali, alikuwa tayari alishajifunza Kurani yote. Aliweka kwenye kumbukumbu sehemu za Kurani kwa Kiarabu, lugha ambayo hata alikuwa hajui maana yake. Alipofikia umri wa miaka 18, alikwenda kuishi na mjomba w...

Read More

Ninawi yamsubiri kila Mkristo

 

Umeshawahi kufikiria kwa nini Yona alipata misukosuko yote ya kwenda kuwaonya wakazi wa Ninawi juu ya hukumu, katika mji ambao ulikuwa na wakazi 120,000 tu? Leo inakadiriwa kuwa kuna Waislamu wapata o bilioni 1.8 ulimwenguni kote, am...

Read More