Skip to content

Kuelekea makanisa yenye nia ya umisheni zaidi

Agizo moja ambalo kanisa linapaswa kukumbuka ni Mt. 28:19: “Kwa hiyo enendeni mkafanye wanafunzi kutoka katika mataifa yote, mkiwabatiza katika jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.”

Kanisa linaloenda haliko kwenye jengo lake t...

Read More

Mchungaji: Wakili wa Umisheni

Kusudi la Mungu la ukombozi lililotimizwa katika Kristo Yesu na kuenezwa na mitume linabaki kuwa kazi ya Kanisa hadi Kristo atakaporudi. Wakati kanisa linapoelewa hili, kila kitu kinabadilika. Hapa ndipo penye jukumu la wachungaji kuhakikisha kwam...

Read More

Watoto wa wamishenari wa Afrika mashariki

Wongel Mulugeta Wongel  (Injili) Zeleke, William Cary, Ephrem Getachew – haya ni majina ya baadhi ya watoto wa wamishenari wetu (WWW) ambao wanawakilisha ujumbe wa injili na maisha ya wamishenari. Kupitia majina ya watoto wao, wamishenari w...

Read More

Ninawi yamsubiri kila Mkristo

 

Umeshawahi kufikiria kwa nini Yona alipata misukosuko yote ya kwenda kuwaonya wakazi wa Ninawi juu ya hukumu, katika mji ambao ulikuwa na wakazi 120,000 tu? Leo inakadiriwa kuwa kuna Waislamu wapata o bilioni 1.8 ulimwenguni kote, am...

Read More

Mungu Hakutengeneza Meza; Aliumba Miti

Trees

Kuna uhusiano gani kati ya hadithi ya Msamaria Mwema na Biashara ya Kimisheni? Au biashara yo yote kwa ujumla? Johnson Asare, mwanzilishi na Mkurugenzi wa kitaifa wa huduma za Markaz Al Biashara huko Tamale, Ghana, anatoa funzo la kutufungua macho...

Read More