Unaweza kuwafikia Waislamu: rasilimali za kukusaidia
Je unataka kuwafikia Waislamu wanaokuzunguka, lakini unaanzaje? Timu ya AfriTWENDE imetayarisha vitabu, kozi, na video vya kukusaidia.
Shirika la Life Challenge Afrika...
Read MoreTayari kwa ujenzi wa taifa
Afisa mmoja kutoka Sekritarieti ya Jeshi la Kujenga Taifa alishindwa kubadilisha msimamo wa kuruta wawili. Kwa nini mtu ang’ang’anie kuwapeleka watumishi kwenye maeneo ya mbali vijijini wakati kuna nafasi bado kwenye maeneo ya mijini y...
Read MoreKuwashuhudia Waislamu kwa hekima
1. Hofu na Ujinga: Tafuta kuujua Uislamu kama mfumo, na Waislamu kama watu waliopendwa na Mungu, lakini wamenaswa kwenye mtego wa mfumo wa dini. Ujinga na hofu kutoka kwa Wakristo ndivyo vinavyozuia kazi ya kuwashuhudia Waislamu. Mwislamu atafaham...
Read MoreNeno ambalo halitarudi bure
Akiwa na umri wa miaka 12, mvulana wa kisomali, alikuwa tayari alishajifunza Kurani yote. Aliweka kwenye kumbukumbu sehemu za Kurani kwa Kiarabu, lugha ambayo hata alikuwa hajui maana yake. Alipofikia umri wa miaka 18, alikwenda kuishi na mjomba w...
Read MoreNinawi yamsubiri kila Mkristo
Umeshawahi kufikiria kwa nini Yona alipata misukosuko yote ya kwenda kuwaonya wakazi wa Ninawi juu ya hukumu, katika mji ambao ulikuwa na wakazi 120,000 tu? Leo inakadiriwa kuwa kuna Waislamu wapata o bilioni 1.8 ulimwenguni kote, ambapo k...
Read MoreTumeitwa tumeagizwa kuhubiri injili katika nchi za Afrika ya kaskazini
Kufanya kazi katika Afrika Kaskazini inaweza kuwa ni hatari, na Daudi anajua hili vizuri. Polisi humfuata Daudi anakoenda; wakiwa na wasiwasi na uwepo wa Wakristo. Baadhi ya majirani zake humkejeli na hata wamekuwa wakimtishia kifo.
Kwa nini: tuwafikie Waislamu?
Hivi majuzi niliombwa kufundisha kozi juu ya ‘Ukristo na Dini zingine za Ulimwengu’ katika Taasisi moja ya kitheolojia. Nilipokuwa naandaa somo la kufundisha, nilibahatika kusoma makala iliyoandikwa na kiongozi wa huduma ambaye anawafikia Wais...
Read MoreMakundi ya watu Wamatumbi
Wamatumbi wapo takribani 250,000 na wanajulikana kama watu wa milimani. Milima hii hua ni ngumu kufikika, haswa msimu wa mvua na wengi wao huishi kwenye misitu. Haswa ni wakulima wa kujikimu, huvuna mpunga na kufuga kuku. Baadhi ya Wamatum...
Read MoreMakundi ya Watu: Watoposa
Watoposa ni jamii ya wakulima na wafugaji wanaoishi Sudani ya Kusini, wanaokadiriwa kufikia idadi ya watu 500,000. Watu hawa wanategemea ng’ombe, kondoo, na mbuzi. Wavulana huchunga mbuzi na kondoo na huacha kuchunga ng’ombe wakifikia ...
Read MoreMafunzo ya Umisheni
East Africa School of Mission (EASM) ni chuo kilicho chini ya bodi ya wachungaji ya mafunzo ya utume. Inayotoa mafunzo ya umisheni kuanzia ngazi ya cheti, diploma na shahada. Chuo hiki kilianza 2015 kama shule ya utume ya kwanza nchini Tanzania, m...
Read More