Skip to content

Un nouveau défi

Nous avons encore besoin de pionniers ! Comment les églises répondront-elles à l’égard de parties de l’Afrique du Nord sans témoins de l’Évangile ?

SIM a fait ses premiers pas avec des « Paul » qui on...

Read More

Lorsque Dieu m’a appelé

 

« Appel. » Voilà encore ce mot ! Qui appelle ? Qui est appelé ? Pourquoi même m’occuper d’un « appel » ? Depuis des milliers d’années, pourtant, le Dieu vivant, dans son amour surprenant, appelle des gens à accomplir s...

Read More

Makundi ya Watu: Watoposa

 

Watoposa ni jamii ya wakulima na wafugaji wanaoishi Sudani ya Kusini, wanaokadiriwa kufikia idadi ya watu 500,000. Watu hawa wanategemea ng’ombe, kondoo, na mbuzi. Wavulana huchunga mbuzi na kondoo na huacha kuchunga ng’ombe waki...

Read More

Mafunzo ya Umisheni

East Africa School of Mission (EASM) ni chuo kilicho chini ya bodi ya wachungaji ya mafunzo ya utume. Inayotoa mafunzo ya umisheni kuanzia ngazi ya cheti, diploma na shahada. Chuo hiki kilianza 2015 kama shule ya utume ya kwanza nchini Tanzania, m...

Read More

Ujuzi na Stadi: Zana Mikono ya Mungu

 

Dk. Bode Olanrewaju ni daktari wa mifugo na mmishenari anayefanya kazi na shirika la CAPRO. Anatumia taaluma yake kuwafikia wale walio katika vizuizi wasifikiwe na injili katika sehemu za kaskazi...

Read More

Ujuzi na Stadi Kwa Ajili ya Ibada

 

Bwana akanena na Musa, na kumwambia, Angalia, nimemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila ya Yuda; tena, tazama, nimemchagua, awe pamoja naye, huyo Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila ya Dani; nami nim...

Read More

Makundi Ya Watu: Wadatooga

 

Wadatooga ni jina la ujumla kwa makundi ya Jamii moja ya wafugaji wnaohama yenye asili ya Nilotiki, ambao ni Wabarabaig, Wataturu, Rotigenga, Gidang’udiga, Simijiega, Burediga na Dalorajieaga. Watu hawa wanaishi zaidi sehemu ya kas...

Read More

Kozi ya Kairos

Kozi imeandaliwa ili kuelimisha na kutoa changamoto kwa wakristo na kulitia moyo kanisa kuitikia moyo wa Mungu kwa ajili ya umisheni kwa mataifa. Kairos inaelekeza na kuongoza huduma yenye mwamko na yenye maana katika kuvuka mipaka ya tamaduni na ...

Read More