Ninawi yamsubiri kila Mkristo
Umeshawahi kufikiria kwa nini Yona alipata misukosuko yote ya kwenda kuwaonya wakazi wa Ninawi juu ya hukumu, katika mji ambao ulikuwa na wakazi 120,000 tu? Leo inakadiriwa kuwa kuna Waislamu wapata o bilioni 1.8 ulimwenguni kote, am...
Read MoreTumeitwa tumeagizwa kuhubiri injili katika nchi za Afrika ya kaskazini
Kufanya kazi katika Afrika Kaskazini inaweza kuwa ni hatari, na Daudi anajua hili vizuri. Polisi humfuata Daudi anakoenda; wakiwa na wasiwasi na uwepo wa Wakristo. Baadhi ya majirani zake humkejeli na hata wamekuwa wakimtishia kifo.<...
Read MoreKwa nini: tuwafikie Waislamu?
Hivi majuzi niliombwa kufundisha kozi juu ya âUkristo na Dini zingine za Ulimwenguâ katika Taasisi moja ya kitheolojia. Nilipokuwa naandaa somo la kufundisha, nilibahatika kusoma makala iliyoandikwa na kiongozi wa huduma ambaye anawafikia Wais...
Read MoreMakundi ya watu Wamatumbi
Wamatumbi wapo takribani 250,000 na wanajulikana kama watu wa milimani. Milima hii hua ni ngumu kufikika, haswa msimu wa mvua na wengi wao huishi kwenye misitu. Haswa ni wakulima wa kujikimu, huvuna mpunga na kufuga kuku. Baadhi ya W...
Read MoreMakundi ya Watu: Watoposa
Watoposa ni jamii ya wakulima na wafugaji wanaoishi Sudani ya Kusini, wanaokadiriwa kufikia idadi ya watu 500,000. Watu hawa wanategemea ngâombe, kondoo, na mbuzi. Wavulana huchunga mbuzi na kondoo na huacha kuchunga ngâombe waki...
Read MoreMafunzo ya Umisheni
East Africa School of Mission (EASM) ni chuo kilicho chini ya bodi ya wachungaji ya mafunzo ya utume. Inayotoa mafunzo ya umisheni kuanzia ngazi ya cheti, diploma na shahada. Chuo hiki kilianza 2015 kama shule ya utume ya kwanza nchini Tanzania, m...
Read MoreKumtumikia Mungu Kupitia Taaluma Yako itakuwaje Mungu akikuita kuwa msanifu majengo?
Kwa sababu mahali pa kazi ndipo tunapotumia muda wetu mwingi katika juma, ni fursa nzuri kwa kufanya huduma.
Katika miaka yangu ya kufanya kazi pamoja na wanafunzi, baadhi yao hutaka ushauri wangu wanapokuwa wanaomba na kufung...
Read MoreUjuzi na Stadi: Zana Mikono ya Mungu
Dk. Bode Olanrewaju ni daktari wa mifugo na mmishenari anayefanya kazi na shirika la CAPRO. Anatumia taaluma yake kuwafikia wale walio katika vizuizi wasifikiwe na injili katika sehemu za kaskazi...
Read MoreUjuzi na Stadi Kwa Ajili ya Ibada
Bwana akanena na Musa, na kumwambia, Angalia, nimemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila ya Yuda; tena, tazama, nimemchagua, awe pamoja naye, huyo Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila ya Dani; nami nim...
Read MoreMakundi Ya Watu: Wadatooga
Wadatooga ni jina la ujumla kwa makundi ya Jamii moja ya wafugaji wnaohama yenye asili ya Nilotiki, ambao ni Wabarabaig, Wataturu, Rotigenga, Gidangâudiga, Simijiega, Burediga na Dalorajieaga. Watu hawa wanaishi zaidi sehemu ya kas...
Read More