Skip to content

Les Églises qui poussent comme des champignons

Le Pasteur Shodankeh Johnson n’avait pas l’intention de devenir missionnaire, mais il l’est devenu accidentellement. Son père était prédicateur dans l’Église méthodiste et avant de venir à Christ, sa mère avait été musulmane. À l...

Read More

Makundi ya Watu: Wazigua

 

Wazigua ni jamii ya watu wenye asili ya kibantu wanaoishi katika ukanda wa pwani ya kaskazini-masharikki mwa Tanzania. Lugha yao ni Kizigua, na pia wengi wao wanazungumza Kiswahili viziuri.

Baada ya kukimbia biashara ya utumwa...

Read More

Wameitwa: Tony na Julia Mburu

Mungu anapokuonyesha anachofanya, ni mwaliko wa moja kwa moja kwamba anataka uungane naye. Maneno haya kutoka kwenye darasa la kujifunza Biblia yalikuwa ni ufunuo mkuu kwangu. Hata hivyo uamuzi wangu kufanya kazi kama mhamasishaji na mmishonari ul...

Read More

Mhamasishaji Mzoefu Ashirikisha Ufahamu Wake

4.4 kehinde1

 

Kehinde Ojo alikuwa miongoni mwa wanafunzi bora wa chuo kikuu alichosoma, akisomea uhandisi wa umeme na elekroniki. Pia alichaguliwa kuwa sehemu ya menejimenti, akijifunza kazi za uongozi katika moja ya makampuni makubwa ya mafuta ya...

Read More

Kupitia Safari Fupi Za Kimisheni

Tafakari kundi la vijana likisafiri pamoja kwenye mwambao wa pwani ya kaskazini ya Msumbiji. Wanatoka nchi ya Lesotho, Botswana, na Kenya. Je, hawa ni watalii? Au wanafunzi wa Chuo Kikuu kwa kazi maalum? Hapana. Hawa ni vijana wamishonari wakiwa k...

Read More

Kwa wakati kama huu

Sote tunahusika kwa namna fulani katika ‘sanaa’ ya uhamasishaji, kutia moyo na kushawishi wengine katika mwelekeo fulani. Kutokana na mtazamo huu, kila mtu ni mhamasishaji, lakini ikiwa ni Agizo Kuu, basi huwa ni muhimu sana.

Hata hivyo...

Read More

Grupos étnicos: os Toposa

 

Os Toposa são um grande grupo agropastoris com uma população estimada em 500.000 habitantes. Eles vivem em três comunidades no Estado Equatorial Oriental (EES) do Sudão do Sul – Kapoeta Norte, Leste e Sul – assim com...

Read More

Recursos

DEFESA DO EVANGELHO

É um ministério cristão online que tem como objectivo
a difusão do Santo Evangelho de Deus. O blog tem
muitas mensagens de encorajamento e edificação.
Read More