fbpx Skip to content

Ujuzi na Stadi Kwa Ajili ya Ibada

Bwana akanena na Musa, na kumwambia, Angalia, nimemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila ya Yuda; tena, tazama, nimemchagua, awe pamoja naye, huyo Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila ya Dani; nami nimetia h...

Read More

Makundi Ya Watu:Wadatooga

Wadatooga ni jina la ujumla kwa makundi ya Jamii moja ya wafugaji wnaohama yenye asili ya Nilotiki, ambao ni Wabarabaig, Wataturu, Rotigenga, Gidang’udiga, Simijiega, Burediga na Dalorajieaga. Watu hawa wanaishi zaidi sehemu ya kaskazini...

Read More

Kozi ya Kairos

Kozi imeandaliwa ili kuelimisha na kutoa changamoto kwa wakristo na kulitia moyo kanisa kuitikia moyo wa Mungu kwa ajili ya umisheni kwa mataifa. Kairos inaelekeza na kuongoza huduma yenye mwamko na yenye maana katika kuvuka mipaka ya tamaduni na ...

Read More

Mashua iliyo Mbali

‘Mashua iliyo mbali’ ni filamu ambayo inalialika kanisa la Kiafrika katika kushikilia fursa ya kipekee ya kuwafikia Waafrika ambao bado hawajafikiwa na Injili; kwa kutoa changamoto kwa kanisa ya kuwa na nguvu kuu kwa ajili ya umisheni huko mbe...

Read More

Makundi ya Watu: Gujarati

4.2 Gujarati

Wagujarati ni kundi la watu ambalo limetawanyika sana takriban katika mataifa 129 na wanajumuisha asilimia 33 ya Wahindi wote walioko ughaibuni kote duniani. Asili ya Wagujarati ni katika jimbo la Gujarat Magharibi mwa India, na lugha yao ...

Read More