Walioitwa: Septi Bukula – Kusudi la Biashara ni nini?
Nilipoulizwa swali hili yapata miaka 14 iliyopita, nilifikiri nilijua Jibu lake. Wakati huo nilikuwa nahudhuria kongamano huko Jakarta nchini Indonesia, pamoja na waumini kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Baada ya juma moja la ma...
Read More‘Njoo Huku Utusaidie’
Ni nani bora zaidi kuwafikia Waislamu wa Afrika isipokuwa Wakristo wa maeneo mengine ya Afrika? Hayo ndiyo yaliyokuwa mawazo ya mwaka wa 2011 wakati wa Mkutano wa Vuguvugu la Mkakati wa Mataifa ya Afrika (MANI), ambalo lilizalisha kw...
Read MoreMungu Hakutengeneza Meza; Aliumba Miti
Kuna uhusiano gani kati ya hadithi ya Msamaria Mwema na Biashara ya Kimisheni? Au biashara yo yote kwa ujumla? Johnson Asare, mwanzilishi na Mkurugenzi wa kitaifa wa huduma za Markaz Al Biashara huko Tamale, Ghana, anatoa funzo la kutufungua macho...
Read MoreWajibu Wa Biashara Katika Umisheni
Kuna hadithi moja inayohusu kundi la watu walioishi karibu na pwani. Baada ya miaka kadhaa wakishuhudia ajali za kuzama kwa meli baharini na matokeo yake ni kupotea kwa maisha ya watu na mali, waliamua kufanya jambo fulani kuhusu hal...
Read MoreUngependa kujiunga na umisheni – lakini nini kinafuata?
Timu ya AfriTwende imeweka pamoja orodha ya rasilimali ambazo zitasaidia kufahamu nini maana ya umisheni, jinsi ya kujihusisha, na namna ya kuleta watu pamoja nawe katika mpango mkuu wa Mungu wa baraka kwa ulimwengu! Kila kozi inafundisha mpango w...
Read MoreMakundi ya Watu: Wazigua
Wazigua ni jamii ya watu wenye asili ya kibantu wanaoishi katika ukanda wa pwani ya kaskazini-masharikki mwa Tanzania. Lugha yao ni Kizigua, na pia wengi wao wanazungumza Kiswahili viziuri.
Baada ya kukimbia biashara ya utumwa...
Read MoreWameitwa: Tony na Julia Mburu
Mungu anapokuonyesha anachofanya, ni mwaliko wa moja kwa moja kwamba anataka uungane naye. Maneno haya kutoka kwenye darasa la kujifunza Biblia yalikuwa ni ufunuo mkuu kwangu. Hata hivyo uamuzi wangu kufanya kazi kama mhamasishaji na mmishonari ul...
Read MoreMhamasishaji Mzoefu Ashirikisha Ufahamu Wake
Kehinde Ojo alikuwa miongoni mwa wanafunzi bora wa chuo kikuu alichosoma, akisomea uhandisi wa umeme na elekroniki. Pia alichaguliwa kuwa sehemu ya menejimenti, akijifunza kazi za uongozi katika moja ya makampuni makubwa ya mafuta ya...
Read MoreKupitia Safari Fupi Za Kimisheni
Tafakari kundi la vijana likisafiri pamoja kwenye mwambao wa pwani ya kaskazini ya Msumbiji. Wanatoka nchi ya Lesotho, Botswana, na Kenya. Je, hawa ni watalii? Au wanafunzi wa Chuo Kikuu kwa kazi maalum? Hapana. Hawa ni vijana wamishonari wakiwa k...
Read MoreWana na Mabinti Wa Afrika: inukeni na mumwombe bwana wa mavuno
Kwa maana tokea maawio ya jua hata machweo yake jina langu ni kuu katika Mataifa; na katika kila mahali unatolewa uvumba na dhabihu safi kwa jina langu; maana jina langu ni kuu katika Mataifa. (Mal 1:11)
Leo shamba la umisheni lime...
Read More