Skip to content

Tayari kwa ujenzi wa taifa

 

Afisa mmoja kutoka Sekritarieti ya Jeshi la Kujenga Taifa alishindwa kubadilisha msimamo wa kuruta wawili. Kwa nini mtu ang’ang’anie kuwapeleka watumishi kwenye maeneo ya mbali vijijini wakati kuna nafasi bado kwenye maeneo ya mi...

Read More

Biblia ya kiarabu cha Kichadi yachapishwa

 

Biblia yote ya Kiarabu cha Kichadi imetafsiriwa na kuchapishwa kwa mara ya kwanza. Kupatikana kwa tafsiri hii ya Biblia kulisherehekewa hapo mwezi Aprili 2021 pamoja na matukio mawili ya kuwekwa wakfu katika mji mkuu wa Chad, N’dja...

Read More

Kuwashuhudia Waislamu kwa hekima

1. Hofu na Ujinga: Tafuta kuujua Uislamu kama mfumo, na Waislamu kama watu waliopendwa na Mungu, lakini wamenaswa kwenye mtego wa mfumo wa dini. Ujinga na hofu kutoka kwa Wakristo ndivyo vinavyozuia kazi ya kuwashuhudia Waislamu. Mwislamu atafaham...

Read More

Neno ambalo halitarudi bure

Akiwa na umri wa miaka 12, mvulana wa kisomali, alikuwa tayari alishajifunza Kurani yote. Aliweka kwenye kumbukumbu sehemu za Kurani kwa Kiarabu, lugha ambayo hata alikuwa hajui maana yake. Alipofikia umri wa miaka 18, alikwenda kuishi na mjomba w...

Read More

Ninawi yamsubiri kila Mkristo

 

Umeshawahi kufikiria kwa nini Yona alipata misukosuko yote ya kwenda kuwaonya wakazi wa Ninawi juu ya hukumu, katika mji ambao ulikuwa na wakazi 120,000 tu? Leo inakadiriwa kuwa kuna Waislamu wapata o bilioni 1.8 ulimwenguni kote, am...

Read More

Kwa nini: tuwafikie Waislamu?

Hivi majuzi niliombwa kufundisha kozi juu ya ‘Ukristo na Dini zingine za Ulimwengu’ katika Taasisi moja ya kitheolojia. Nilipokuwa naandaa somo la kufundisha, nilibahatika kusoma makala iliyoandikwa na kiongozi wa huduma ambaye anawafikia Wais...

Read More

Habari na mafunzo

 

Kila mwezi Chuo cha umisheni cha Afrika Mashariki hutoa mafunzo ya umishenari kwa viongozi mbalimbali wa makanisa wakiwa ni wachungaji na wazee wa makanisa. Viongozi hawa wa makanisa hufikiwa kupitia kiongozi mkuu wa makanisa ya sehe...

Read More