Wachungaji Ni Ufunguo Wa Maono Ya Kanisa juu Ya Umisheni
Mungu amewachagua wachungaji ili kulielekeza na kuliongoza kanisa lake. Ni maono na kielelezo cha Mchungaji ambacho kitalielekeza kanisa na ushiriki wake katika umisheni. Kama unaongoza kanisa unaweza kulisaidia kusanyiko ...
Read MoreKutafakari Tena Somo La Antiokia Je, Wachungaji Wanasikiliza?
Sura ya 13 ya kitabu cha Matendo ya Mitume inaelezea kanisa ambalo lilikuwa katika sehemu ya Shamu (kwa sasa ni nchi ya Syria) ambalo lilikuwa ni la kwanza kutuma rasmi wamishenari kwenda nchi nyingine, kwenye utamaduni mwingine katika kip...
Read MoreMakundi ya Watu: Gujarati
Wagujarati ni kundi la watu ambalo limetawanyika sana takriban katika mataifa 129 na wanajumuisha asilimia 33 ya Wahindi wote walioko ughaibuni kote duniani. Asili ya Wagujarati ni katika jimbo la Gujarat Magharibi mwa India, na lugha yao ...
Read MoreWalioitwa: Septi Bukula – Kusudi la Biashara ni nini?
Nilipoulizwa swali hili yapata miaka 14 iliyopita, nilifikiri nilijua Jibu lake. Wakati huo nilikuwa nahudhuria kongamano huko Jakarta nchini Indonesia, pamoja na waumini kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Baada ya juma moja la majadili...
Read More‘Njoo Huku Utusaidie’
Ni nani bora zaidi kuwafikia Waislamu wa Afrika isipokuwa Wakristo wa maeneo mengine ya Afrika? Hayo ndiyo yaliyokuwa mawazo ya mwaka wa 2011 wakati wa Mkutano wa Vuguvugu la Mkakati wa Mataifa ya Afrika (MANI), ambalo lilizalisha kwa mkak...
Read MoreMungu Hakutengeneza Meza; Aliumba Miti
Kuna uhusiano gani kati ya hadithi ya Msamaria Mwema na Biashara ya Kimisheni? Au biashara yo yote kwa ujumla? Johnson Asare, mwanzilishi na Mkurugenzi wa kitaifa wa huduma za Markaz Al Biashara huko Tamale, Ghana, anatoa funzo la kutufung...
Read MoreWajibu Wa Biashara Katika Umisheni
Kuna hadithi moja inayohusu kundi la watu walioishi karibu na pwani. Baada ya miaka kadhaa wakishuhudia ajali za kuzama kwa meli baharini na matokeo yake ni kupotea kwa maisha ya watu na mali, waliamua kufanya jambo fulani kuhusu hali hiyo...
Read MoreUngependa kujiunga na umisheni – lakini nini kinafuata?
Timu ya AfriTwende imeweka pamoja orodha ya rasilimali ambazo zitasaidia kufahamu nini maana ya umisheni, jinsi ya kujihusisha, na namna ya kuleta watu pamoja nawe katika mpango mkuu wa Mungu wa baraka kwa ulimwengu! Kila kozi inafundisha mpango w...
Read MoreMakundi ya Watu: Wazigua
Wazigua ni jamii ya watu wenye asili ya kibantu wanaoishi katika ukanda wa pwani ya kaskazini-masharikki mwa Tanzania. Lugha yao ni Kizigua, na pia wengi wao wanazungumza Kiswahili viziuri.
Baada ya kukimbia biashara ya utumwa huko ...
Read MoreWameitwa: Tony Na Julia Mburu
Mungu anapokuonyesha anachofanya, ni mwaliko wa moja kwa moja kwamba anataka uungane naye. Maneno haya kutoka kwenye darasa la kujifunza Biblia yalikuwa ni ufunuo mkuu kwangu. Hata hivyo uamuzi wangu kufanya kazi kama mhamasishaji na mmish...
Read More