Mafunzo ya Umisheni
East Africa School of Mission (EASM) ni chuo kilicho chini ya bodi ya wachungaji ya mafunzo ya utume. Inayotoa mafunzo ya umisheni kuanzia ngazi ya cheti, diploma na shahada. Chuo hiki kilianza 2015 kama shule ya utume ya kwanza nchini Tanzania, m...
Read MoreKumtumikia Mungu Kupitia Taaluma Yako itakuwaje Mungu akikuita kuwa msanifu majengo?
Kwa sababu mahali pa kazi ndipo tunapotumia muda wetu mwingi katika juma, ni fursa nzuri kwa kufanya huduma.
Katika miaka yangu ya kufanya kazi pamoja na wanafunzi, baadhi yao hutaka ushauri wangu wanapokuwa wanaomba na kufunga ili ...
Read MoreUjuzi na Stadi: Zana Mikono ya Mungu
Dk. Bode Olanrewaju ni daktari wa mifugo na mmishenari anayefanya kazi na shirika la CAPRO. Anatumia taaluma yake kuwafikia wale walio katika vizuizi wasifikiwe na injili katika sehemu za kaskazini mwa...
Read MoreUjuzi na Stadi Kwa Ajili ya Ibada
Bwana akanena na Musa, na kumwambia, Angalia, nimemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila ya Yuda; tena, tazama, nimemchagua, awe pamoja naye, huyo Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila ya Dani; nami nimetia h...
Read MoreMakundi Ya Watu:Wadatooga
Wadatooga ni jina la ujumla kwa makundi ya Jamii moja ya wafugaji wnaohama yenye asili ya Nilotiki, ambao ni Wabarabaig, Wataturu, Rotigenga, Gidang’udiga, Simijiega, Burediga na Dalorajieaga. Watu hawa wanaishi zaidi sehemu ya kaskazini...
Read MoreKozi ya Kairos
Kozi imeandaliwa ili kuelimisha na kutoa changamoto kwa wakristo na kulitia moyo kanisa kuitikia moyo wa Mungu kwa ajili ya umisheni kwa mataifa. Kairos inaelekeza na kuongoza huduma yenye mwamko na yenye maana katika kuvuka mipaka ya tamaduni na ...
Read MoreMpango Wa Umisheni Wa Malawi Unakuza Uinjilisti Wa Kuvuka Mpaka
Makongamano ya kikanda ya wachungaji wenye wito wa kimisheni yaliandaliwa na SIM kwa ushirikiano na Chama cha Kiinjili cha Malawi. Makongamano hayo huchochea hamasa miongoni mwa makanisa ya Malawi kuvuka mpaka kwa ajili ya kuwafikia wengine. Matok...
Read MoreMashua iliyo Mbali
‘Mashua iliyo mbali’ ni filamu ambayo inalialika kanisa la Kiafrika katika kushikilia fursa ya kipekee ya kuwafikia Waafrika ambao bado hawajafikiwa na Injili; kwa kutoa changamoto kwa kanisa ya kuwa na nguvu kuu kwa ajili ya umisheni huko mbe...
Read MoreWajibu Wa Mchungaji Katika Kuanzisha Kanisa lenye Mtazamo Wa Umisheni
Kufanya kazi miongoni mwa watu ambao bado hawajafikiwa ni muhimu sana katika kukuza hamasa kwa ajili ya umisheni ndani ya mioyo ya wachungaji na viongozi wa kanisa. Mtu mmoja aliwahi kusema kwamba, hatutakuwa na mzigo kwa ajili ya watu wal...
Read MoreJinsi Kanisa Letu Dogo Lilivyokuza Moyo Mkuu Wa Umisheni
Kama wachungaji, kwa kiasi kikubwa, tunaweza kusaidia kuonyesha mwelekeo wa makanisa yetu. Sehemu kubwa ya jukumu letu ni kutumia ushawishi wa kiroho kwenye maisha na mwelekeo wa watu walioko chini ya uangalizi wetu. Na ndiyo maana tunaitw...
Read More