Skip to content

Makundi ya Watu: WWW

4.1 MKs

Watoto wa Wamishenari, wanaojulikana kama WWW, wamekuwa sehemu ya historia ya umisheni tangu zama za Umisheni wa Kisasa ulipoanza mwishoni mwa miaka ya 1700. Lakini hadi miongo ya hivi karibuni, sifa zao za kipekee  na majukumu yao ya kipekee  y...

Read More

Watoto wa wamishenari wa Afrika mashariki

Wongel Mulugeta Wongel  (Injili) Zeleke, William Cary, Ephrem Getachew – haya ni majina ya baadhi ya watoto wa wamishenari wetu (WWW) ambao wanawakilisha ujumbe wa injili na maisha ya wamishenari. Kupitia majina ya watoto wao, wamishenari w...

Read More

Safari yangu kama mama wa WWW

Mimi na mume wangu tuna wasichana wawili, Blessing na Joy. Wakati tulipokuwa tukijiandaa kuitikia wito wa Mungu wa umisheni wenye mchanganyiko wa tamaduni nchini Thailand, shirika letu lilituarifu kwamba eneo tulilopewa lilikuwa na mwalimu wa shul...

Read More

Kumbatia watoto wa wamishenari wa Afrika mashariki

Jinsi gani tunaweza kuwakumbatia na kuwalea vyema watoto wa wamishenari wetu katika  umisheni?  Ni kweli wako katika umisheni, lakini wapo si kwa sababu yao, bali kwasababu ya wazazi wao. Imekuwa ni kawaida kwetu kutoa maelekezo kwao na  kutara...

Read More

People Group: the Mandinka of West Africa

The Mandinka are a West African people group numbering about 2.5 million and found mainly in southern Gambia, southern Mali, southern Senegal, and eastern Guinea. There are very few of them also in Ghana, Sierra Leone, Liberia, and Guinea-Bissau. ...

Read More