fbpx Skip to content

“Walimu hubadilisha ulimwengu” – Nyakati za wamisionari

Mkakati wetu kwenye eneo la umisionari ilikua ni kuanzisha shule. Ijapokua, viongozi wa msikiti wa mtaa waliwaonya watu dhidi ya kuwaleta watoto wao kwenye shule yetu sababu tulikua wakristo pamoja na walimu wetu wote. Idadi ya watu karibia asilimia 100 waislamu, lakini waislamu wachache na wakristo wengine kutoka sehemu ambao walikua wakifanya kazi kwenye kwenye eneo hilo walituamini kupitia watoto wao.

Baada ya mwaka mmoja wa kuendesha chekechea, jambo lilitokea na kuleta athari kubwa. Wanafunzi wetu waliweza kuongea kiingereza, kitu ambacho wengi wa Watoto wa darasa la tano kwenye shule za serikali za mtaa walikua hawawezi. Wakati ambao jamii ilipotambua hili, walibadilisha mtazamo wao dhidi ya shule yetu. Hata baadhi ya viongozi wa msikiti waliwaleta Watoto wao kwenye shule yetu!

share
share
Instagram
contact us
contact us
contact us