“Na kuna nini kwenye chungu?” – Nyakati za wamisionari
Mimi na familia yangu tulikua kwenye safari ya kimisionari chini ya mwaka mmoja.Tulikua tunaelekea India tukiwa tumetoka Malawi, ambapo wazo la Umisionari wa mstari wa mbele ulikua hauna nguvu ukilinganisha na nchi nyingine. Ikiwa Malawi ni nchi inayoendelea, tulikua kwenye nafasi kubwa kwenye kupata msaada tukiwa ndani ya Afrika ya kusini.
Tulipokua tunaishi Durban, Afrika ya kusini, tulikaribishwa na mwanamke kutoka kwenye kanisa ili tuweze kula chakula cha mchana kwenye nyumba yao. Alituuliza moja kwa moja ikiwa tumejaribu kula kaa kabla, (ambapo hatujawahi), na ikiwa tutapenda kujaribu. Tukuwa familia, tuliitikia ndiyo!Baadae , tuliendelea ulizana wenyewe ni kitu gani alimaanisha katika hili,kwa sababu hatujawahi kula, hata kuweza kusikia kuhusu hiki. Chakula cha mchana kilikuja na tulikua tumewasili nyumbani kwa mwanamke mkarimu, tulikua na shauku kujaribu kwa jinsi kilivyo.
Kilichonikamata kwanza ni harufu; sikuweza kuweka kidole changu juu yake, ilinukia kama kiungo ambacho mara kadhaa hutumika nyumbani wakati wa kupika majani makavu ya bamia na wakati mwingine hufanywa na majivu, kitu ambacho bila shaka kwa mara ya kwanza kua ni bendera nyekundu, lakini nilikaa kimya.
Halafu, chungu kikubwa kikaja mezani, na akatukaribisha kuzunguka na kwa jinsi gani kilionekana kizuri, na akatuonyesha namna gani ya kula. Alitoa mfuniko na wote tukarukia (pasipo kuonekana, ikiwa nitaongeza) na kwa mshangao,Oh! Nkhanu! (ilimaanisha kaa kwenye kilugha changu).
Ilieleweka juu yetu ni namna gani ilivyokua na hua hatuili kule nyumbani. Hatujawahi hata kujaribu tuu. Mwanamke mwenye kupendeza alihusika, lakini wakati huu tena alionyesha shauku na alisema tutajaribu tena.
Vizuri, vitu vyote vipya hua na mwanzo-watoto wetu walienda kujaribu na walipenda, mume wangu na mimi tulienda na kujaribu.
Hii ilikua mara ya kwanza kwa tamaduni zilizotushangaza ambazo tumekutana nazo, tulicheka na kujifunza namna ya kuchukuliana nazo-lakini baada ya siku hii, tuliweza jiuliza mara kwa mara ni kitu gani mbele yetu tumekubaliana kukijaribu!
-Mmisionari wa Malawi nchini India