“Kuvamiwa na kulipa gharama kubwa” – nyakati za wamishenari
Simu iliita mnamo saa 3 asubuhi. Tulikuwa tukihubiri na kufundisha wachungaji wa misheni mahali amabapo palikuwa na umbali wa kilomita 100 toka nyumbani, na huku nyuma, nyumba yetu ilivamiwa na majambazi.
Binti yetu alikuwa nyumbani. Waliyagundisha macho yake kwa lengo la kumtesa ili awaruhusu waingie ndani. Licha ya machungu haya, hatukuweza kuondoka ili kuwa pamoja naye. Wamishenari wenzetu na viongozi walienda kumuokoa na kumsaidia.
Hiyo ilikuwa moja ya gharama nzito sana ambazo tulilazimika kulipa katika maisha yetu ya umishenari, lakini Bwana Yesu alilipa bei kubwa zaidi.
-Daniel na Falida Phiri
Wamishenari kutoka Malawi hadi kwa watu wa Yao wa Malawi