4.1
Watoto wa wamishenari, wanaojulikana kama WWW, wamekuwa sehemu ya historia ya umisheni tangu zama za misheni wa Kisasa ulipoanza mwishoni mwa miaka ya 1700. Lakini hadi miongo ya hivi karibuni, sifa zao za kipekee na majukumu yao ya kipekee ya kimisheni yameeleweka kidogo tu na kwa sehemu kubwa hayajarekodiwa. Leo michango yao, uzoefu wao wa kipekee wa maisha na sifa zao zenye kufaa zinajulikana na kueleweka vizuri zaidi.
Kumbatia watoto wa wamishenari wa Afrika mashariki
Jinsi gani tunaweza kuwakumbatia na kuwalea vyema watoto wa wamishenari wetu katika umisheni? Ni kweli wako katika umisheni, lakini wapo si kwa sababu yao, bali kwasababu ya wazazi wao. Imekuwa ni kawaida kwetu kutoa maelekezo kwao na kutara...
Daniel Salamu
Kufuatilia kwa makini mapito na mabadiliko ya Watoto Wako
Watoto wa wamishenari ni wahamaji (WWW). Huu ni uhalisia kwa watoto wa familia za kimishenari. WWW huacha nchi zao za asili ambazo kwazo kuna shangazi na wajomba zao, babu, binamu na marafiki na wanafunzi waliosoma pamoja, na kanisa lao lililo...
Safari yangu kama mama wa WWW
Mimi na mume wangu tuna wasichana wawili, Blessing na Joy. Wakati tulipokuwa tukijiandaa kuitikia wito wa Mungu wa umisheni wenye mchanganyiko wa tamaduni nchini Thailand, shirika letu lilituarifu kwamba eneo tulilopewa lilikuwa na mwalimu wa shul...
Watoto wa wamishenari wa Afrika mashariki
Wongel Mulugeta Wongel (Injili) Zeleke, William Cary, Ephrem Getachew – haya ni majina ya baadhi ya watoto wa wamishenari wetu (WWW) ambao wanawakilisha ujumbe wa injili na maisha ya wamishenari. Kupitia majina ya watoto wao, wamishenari w...
Worku Hailemariam
Tafakari za Mtoto wa Mmishenari
Watoto wa wamishenari hukua katika maisha yenye imani, kujitoa, na kusudi maalum. Utoto wao huwa tofauti kwa sababu hukulia katika maeneo ambako wazazi wao wanahudumu wakihubiri Injili, kupanda makanisa, kutafsiri Biblia, na kuishi k...
Na Eliya Shilikale
Makundi ya Watu: WWW
Watoto wa Wamishenari, wanaojulikana kama WWW, wamekuwa sehemu ya historia ya umisheni tangu zama za Umisheni wa Kisasa ulipoanza mwishoni mwa miaka ya 1700. Lakini hadi miongo ya hivi karibuni, sifa zao za kipekee na majukumu yao ya kipekee y...