Kwa nini: tuwafikie Waislamu?
Hivi majuzi niliombwa kufundisha kozi juu ya ‘Ukristo na Dini zingine za Ulimwengu’ katika Taasisi moja ya kitheolojia. Nilipokuwa naandaa somo la kufundisha, nilibahatika kusoma makala iliyoandikwa na kiongozi wa huduma ambaye anawafikia Wais...
Read MoreUjuzi na Stadi Kwa Ajili ya Ibada
Bwana akanena na Musa, na kumwambia, Angalia, nimemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila ya Yuda; tena, tazama, nimemchagua, awe pamoja naye, huyo Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila ya Dani; nami nimetia h...
Read MoreKutafakari Tena Somo La Antiokia Je, Wachungaji Wanasikiliza?
Sura ya 13 ya kitabu cha Matendo ya Mitume inaelezea kanisa ambalo lilikuwa katika sehemu ya Shamu (kwa sasa ni nchi ya Syria) ambalo lilikuwa ni la kwanza kutuma rasmi wamishenari kwenda nchi nyingine, kwenye utamaduni mwingine katika kip...
Read MoreWajibu Wa Biashara Katika Umisheni
Kuna hadithi moja inayohusu kundi la watu walioishi karibu na pwani. Baada ya miaka kadhaa wakishuhudia ajali za kuzama kwa meli baharini na matokeo yake ni kupotea kwa maisha ya watu na mali, waliamua kufanya jambo fulani kuhusu hali hiyo...
Read More