Biblia ya kiarabu cha Kichadi yachapishwa
Biblia yote ya Kiarabu cha Kichadi imetafsiriwa na kuchapishwa kwa mara ya kwanza. Kupatikana kwa tafsiri hii ya Biblia kulisherehekewa hapo mwezi Aprili 2021 pamoja na matukio mawili ya kuwekwa wakfu katika mji mkuu wa Chad, N’djamena. ...
Read MoreHarbari na mafunzo
Kila mwezi Chuo cha umisheni cha Afrika Mashariki hutoa mafunzo ya umishenari kwa viongozi mbalimbali wa makanisa wakiwa ni wachungaji na wazee wa makanisa. Viongozi hawa wa makanisa hufikiwa kupitia kiongozi mkuu wa makanisa ya sehemu maa...
Read MoreMafunzo ya Umisheni
East Africa School of Mission (EASM) ni chuo kilicho chini ya bodi ya wachungaji ya mafunzo ya utume. Inayotoa mafunzo ya umisheni kuanzia ngazi ya cheti, diploma na shahada. Chuo hiki kilianza 2015 kama shule ya utume ya kwanza nchini Tanzania, m...
Read MoreKozi ya Kairos
Kozi imeandaliwa ili kuelimisha na kutoa changamoto kwa wakristo na kulitia moyo kanisa kuitikia moyo wa Mungu kwa ajili ya umisheni kwa mataifa. Kairos inaelekeza na kuongoza huduma yenye mwamko na yenye maana katika kuvuka mipaka ya tamaduni na ...
Read MoreMpango Wa Umisheni Wa Malawi Unakuza Uinjilisti Wa Kuvuka Mpaka
Makongamano ya kikanda ya wachungaji wenye wito wa kimisheni yaliandaliwa na SIM kwa ushirikiano na Chama cha Kiinjili cha Malawi. Makongamano hayo huchochea hamasa miongoni mwa makanisa ya Malawi kuvuka mpaka kwa ajili ya kuwafikia wengine. Matok...
Read MoreMashua iliyo Mbali
‘Mashua iliyo mbali’ ni filamu ambayo inalialika kanisa la Kiafrika katika kushikilia fursa ya kipekee ya kuwafikia Waafrika ambao bado hawajafikiwa na Injili; kwa kutoa changamoto kwa kanisa ya kuwa na nguvu kuu kwa ajili ya umisheni huko mbe...
Read More