fbpx Skip to content

‘Njoo Huku Utusaidie’

Ni nani bora zaidi kuwafikia Waislamu wa Afrika isipokuwa Wakristo wa maeneo mengine ya Afrika? Hayo ndiyo yaliyokuwa mawazo ya mwaka wa 2011 wakati wa Mkutano wa Vuguvugu la Mkakati wa Mataifa ya Afrika (MANI), ambalo lilizalisha kwa mkak...

Read More

Mungu Hakutengeneza Meza; Aliumba Miti

Trees

Kuna uhusiano gani kati ya hadithi ya Msamaria Mwema na Biashara ya Kimisheni? Au biashara yo yote kwa ujumla? Johnson Asare, mwanzilishi na Mkurugenzi wa kitaifa wa huduma za Markaz Al Biashara huko Tamale, Ghana, anatoa funzo la kutufung...

Read More

Wajibu Wa Biashara Katika Umisheni

Kuna hadithi moja inayohusu kundi la watu walioishi karibu na pwani. Baada ya miaka kadhaa wakishuhudia ajali za kuzama kwa meli baharini na matokeo yake ni kupotea kwa maisha ya watu na mali, waliamua kufanya jambo fulani kuhusu hali hiyo...

Read More

Makundi ya Watu: Wazigua

Wazigua ni jamii ya watu wenye asili ya kibantu wanaoishi katika ukanda wa pwani ya kaskazini-masharikki mwa Tanzania. Lugha yao ni Kizigua, na pia wengi wao wanazungumza Kiswahili viziuri.

Baada ya kukimbia biashara ya utumwa huko ...

Read More

Wameitwa: Tony Na Julia Mburu

Mungu anapokuonyesha anachofanya, ni mwaliko wa moja kwa moja kwamba anataka uungane naye. Maneno haya kutoka kwenye darasa la kujifunza Biblia yalikuwa ni ufunuo mkuu kwangu. Hata hivyo uamuzi wangu kufanya kazi kama mhamasishaji na mmish...

Read More

Mhamasishaji Mzoefu Ashirikisha Ufahamu Wake

4.4 kehinde1

Kehinde Ojo alikuwa miongoni mwa wanafunzi bora wa chuo kikuu alichosoma, akisomea uhandisi wa umeme na elekroniki. Pia alichaguliwa kuwa sehemu ya menejimenti, akijifunza kazi za uongozi katika moja ya makampuni makubwa ya mafuta yaliyoku...

Read More

Kupitia Safari Fupi Za Kimisheni

Tafakari kundi la vijana likisafiri pamoja kwenye mwambao wa pwani ya kaskazini ya Msumbiji. Wanatoka nchi ya Lesotho, Botswana, na Kenya. Je, hawa ni watalii? Au wanafunzi wa Chuo Kikuu kwa kazi maalum? Hapana. Hawa ni vijana wamishonari ...

Read More