fbpx Skip to content

Rasilimali juu ya Uislamu

Waislamu ni majirani zetu, wenzetu na wakati mwingine hata wanafamilia. Wengi wetu hatuna hakika jinsi ya kuzungumzia Uislamu na tunasitasita kujihusisha na dini.

Usiogope! Tumekuletea nyenzo za kukusaidia.  Zana za uinjilisti ni kukufundisha au kukupa mambo ya kushirikiana na marafiki zako waislamu.

Hakikisha unasoma "vidokezo 10 vya kuzungumza na waislamu" chini.

Tunashukuru Life Challenge.org kwa kutushirikisha nyenzo zao nyingi bila gharama.

Ulimwenguni kote, kuna mamilioni ya waislamu ambao hawana ushahidi wowote wa Kikristo kati yao. Wanahitaji wamishenari waliotumwa kwao, nasi tunakutia moyo utafute jinsi unavyoweza kuhusika.

Soma suala letu kuhusu Uislamu ili kupata mawazo.

Ili kukusaidia kuelewa

issue_img

Uislamu na Waislamu

issue_img

Umeumbwa kwa Kusudi

issue_img

Mambo Kurani hufundisha kuhusu Biblia

issue_img

Nani anakwenda Mbinguni

issue_img

Mambo yaliyosabisha Maendeleo ya Uislamu

Kuwashuhudia Waislamu kwa hekima

Na Jared Oginga, Life Challenge Africa