fbpx Skip to content

Rasilimali juu ya Uislamu

Waislamu ni majirani zetu, wenzetu na wakati mwingine hata wanafamilia. Wengi wetu hatuna hakika jinsi ya kuzungumzia Uislamu na tunasitasita kujihusisha na dini.

Usiogope! Tumekuletea nyenzo za kukusaidia.  Zana za uinjilisti ni kukufundisha au kukupa mambo ya kushirikiana na marafiki zako waislamu.

Hakikisha unasoma "vidokezo 10 vya kuzungumza na waislamu" chini.

Tunashukuru Life Challenge.org kwa kutushirikisha nyenzo zao nyingi bila gharama.

Ulimwenguni kote, kuna mamilioni ya waislamu ambao hawana ushahidi wowote wa Kikristo kati yao. Wanahitaji wamishenari waliotumwa kwao, nasi tunakutia moyo utafute jinsi unavyoweza kuhusika.

Soma suala letu kuhusu Uislamu ili kupata mawazo.

Ili kukusaidia kuelewa

issue_img

Kujihusisha katika Umisheni

issue_img

Jinsi Yesu alivyojieleza na jinsi watu walivyoongea juu yake

issue_img

Fuata moyo wako - inawezekana kumjua Mungu kibinafsi

issue_img

Kwa nini kuiamini Biblia

issue_img

Mtu mwenye ujumbe Habari Kuu Kuwahi Kuambiwa

issue_img

Mpendwa Abdalla - Barua kutoka kwa Theophilo

issue_img

Mwisho usiojulikana

issue_img

Jitihadi Kulinganisha

issue_img

Habari zako Unazijua

Kuwashuhudia Waislamu kwa hekima

Na Jared Oginga, Life Challenge Africa